Bongo Shopaholics

Bongo Shopaholics We sell first grade women second hand(Mtumba) clothes. Hello fellow shopaholics. Karibu sana Bongo Shopaholics blog. Tunafungua mzigo kila mwezi.

SHOPAHOLIC ni duka la mitumba la k**e linalo patikana makumbusho,Dar es salaam Tanzania.Tunauza first grade office wear na dresses za mtumba kutoka UK,MAREKANI na AUSTRALIA. Naamini sio lazima utumie pesa nyingi ili uonekane stylish. Hata kwa pesa kidogo wewe pia unaweza kupendeza, nia na madhumuni ya kuanzisha SHOPAHOLIC ni kumsaidia middle class Tanzanian woman kupendeza kwa bei nafuu,bei zetu zina range between 15,000/- mpaka 40,000/- kwa nguo na 15,000/- mpaka 60,000/- kwa viatu na 35,000/-mapochi na clutch. Tunauza nguo size 8 mpaka size 22 (UK size). I love fashion and since its my passion naona ni share na watanzania wenzangu. I believe GOD gives us passion so that we can share that passion with other people. Natoa free fashion and style consultataion.Ndani ya blog hii nitaongelea kuhusu fashion na pia nitakua niki post new arrivals kwenye duka letu na hapa na pale nitakua niki showcase my personal style.

Address

BWAWANI Street, Makumbusho, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 20:30
Tuesday 08:30 - 20:30
Wednesday 08:30 - 20:30
Thursday 08:30 - 20:30
Friday 08:30 - 20:30
Saturday 08:30 - 20:30

Telephone

+255678228228

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo Shopaholics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bongo Shopaholics:

Shortcuts

Share

Category