Vitenge empire

Vitenge empire tunauza vitenge, vikoi Na mashuka
vitenge Vya Dini

Update on GRAND SUPER WAX 👇🏽👇🏽Bei tshs 60,000 jumla75,000 rejareja
25/10/2023

Update on GRAND SUPER WAX
👇🏽👇🏽
Bei tshs 60,000 jumla

75,000 rejareja

Habari wapendwa wetuTuko na lace designs 🧵🪡 mpya Karibuni sana👇🏽👇🏽👇🏽_*GUIPURE CHIFFON LACE*_ iko na stone na glitters ✨ ...
13/10/2023

Habari wapendwa wetu
Tuko na lace designs 🧵🪡 mpya
Karibuni sana
👇🏽👇🏽👇🏽

_*GUIPURE CHIFFON LACE*_ iko na stone na glitters ✨
Ukubwa 5 yards(4.5 metres)
Bei ni 135’000

Mambo ni motoooo 🔥🔥🔥    🔥🔥🔥  🔥🔥🔥■Leo tuko Na SILK SATIN ( Vitambaa Vya Silk )●Ukubwa ni 4 yards ( 3.65 meters )●Mtandio ...
17/09/2023

Mambo ni motoooo
🔥🔥🔥 🔥🔥🔥 🔥🔥🔥

■Leo tuko Na SILK SATIN ( Vitambaa Vya Silk )

●Ukubwa ni 4 yards ( 3.65 meters )
●Mtandio wake ni 2 yards ( 1.83 meters )
●Kitambaa Na Mtandio wake jumla ni 6 yards ( 5.5 meters )
●Material nzuri BEST QUALITY
●Bei ni 22’000/= JUMLA (Kuanzia pic 6)

●Rejareja 35,000/=

■BEST BEST QUALITY 👌

Taarifa kwa wateja wa page yetu

○Mnaokuja inbox au WhatsApp naomba muwe serious hii ni biashara na typo serious na hii biashara
°Unataka vitenge na hutaki kutuma hela ili ufungiwe mzigo mwisho wa siku unakuwa kimya kuweni serious hii ni biashara
°namba ni moja tuuu 0677768476 iwe jumla au rejareja

Mambo ni motoooo 🔥🔥🔥    🔥🔥🔥  🔥🔥🔥■Zinaitwa RICHE BAZIN ( ukubwa ni 5 yards/4.5 meters) ●100%  WATERPROOF ●Material nzuri ...
16/09/2023

Mambo ni motoooo
🔥🔥🔥 🔥🔥🔥 🔥🔥🔥

■Zinaitwa RICHE BAZIN ( ukubwa ni 5 yards/4.5 meters)

●100% WATERPROOF
●Material nzuri BEST QUALITY
●Bei ni 125,000/= JUMLA (Kuanzia pc 6)

●Rejareja 135,000/=

■BEST BEST QUALITY 👌

Taarifa kwa wateja wa page yetu

○Mnaokuja inbox au WhatsApp naomba muwe serious hii ni biashara na typo serious na hii biashara
°Unataka vitenge na hutaki kutuma hela ili ufungiwe mzigo mwisho wa siku unakuwa kimya kuweni serious hii ni biashara
°namba ni moja tuuu 0677768476 iwe jumla au rejareja

Habari wapendwaTuna bidhaa mpya ya lace ribbon Zinafaa kutumika kwa mapambo ya harusi na vifaa vya kutandikia ama kupamb...
26/08/2023

Habari wapendwa
Tuna bidhaa mpya ya lace ribbon
Zinafaa kutumika kwa mapambo ya harusi na vifaa vya kutandikia ama kupambia, na vile vile kwa kuongeza vifaa vya kumalizia kwa nguo na vifaa.

Ukubwa wake ni 15 YARDS kwa ujumla wa pc 3 kila moja ina 5 YARDS 👇🏽👇🏽
BEI ni 50,000/=

Hivi vinaitwa SUPER WAX .. HAVICHUJI RANGI WALA KUPAUKA.. COTTON 100.. VIZURI SAAANA.. SIO VIZITO KABISAAABEI KWA MOJA N...
02/08/2023

Hivi vinaitwa SUPER WAX
.. HAVICHUJI RANGI WALA KUPAUKA.. COTTON 100.. VIZURI SAAANA.. SIO VIZITO KABISAAA

BEI KWA MOJA NI 50,000
JUMLA 45,000 kuanzia vitenge 6
Offer kwa atakaechukua kila Kitenge atapata kwa 43,500

Karibuni saaana

Wateja wangu mmesubiria Vya kutosha sasa mzigo umeingia WA kutosha saaana wasiliana nami kwa 0677768476 K**a upo serious...
22/07/2023

Wateja wangu mmesubiria Vya kutosha sasa mzigo umeingia WA kutosha saaana wasiliana nami kwa 0677768476 K**a upo serious bei ni 30,000/= kwa mteja ataenunua chini ya PC 12. Na kwa wale wa kuchukua zaidi ya hapo ni 29,000/=

Ukija inbox njoo ukiwa Na hela yako maelezo nimeshayatoa Hapa. Aksante wapendwa 👍

13/05/2023
◼️Mambo ni mazuri kwenye page yetu k**a kawaida yetu maboss zangu. ◼️Ziliisha hizi na zimerudi tena hiziii piga simu 067...
29/04/2022

◼️Mambo ni mazuri kwenye page yetu k**a kawaida yetu maboss zangu.
◼️Ziliisha hizi na zimerudi tena hiziii piga simu 0677768476
◼️Bei yetu ni ileile maboss zangu 115,000 ( Laki na kumi na tano)

☑️N.B … Samahani kwa ukimya uliokuwa hapa kati ni kutokana na simu ya biashara kupata hitilafu na tunashughulikia na soon tutakuwa online tena na moto utawaka 🔥🔥🔥

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255677768476

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vitenge empire posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Vitenge empire:

Share