Hair collection

Hair collection Nasuka aina mbalimbali za crochet,kushonea maweaving,vitunguu, twist,sangita,dredi,yeboyebo na kubond maweaving na kutengeneza wigi. nakufata ulipo karibu.

18/08/2020

*RAYMA Supplies*
Habari zenu wadau...
Leo nataka niwaletee biashara ya kuanza na mtaji mdogo... Biashara ambayo k**a wewe Ni mwanafunzi wa chuo au mama wa nyumbani au mfanyakazi au hunakazi yoyote unaetaka kujipatia kipato Cha ziada itakufaa Sana.. biashara hii usipokua na aibu itakutoa vizuri tuu...

Hii biashara unaweza kuanza na mtaji wa 70,000... Ni biashara ya dagaa nyama...
Kwenye hii ela utapata kilo 10 ..

KWENYE JINSI YA KUWA PACK SASA..
Unaweza ukafunga
gram 100 ukauza TSH 1,000
gram 50 ukuaza TSH 500.....
Sasa kwenye kila kilo moja utapata packet 10 za elfu Moja au packets 20 za 500... Kwenye kila kilo moja utapata faida ya tsh 3000 ambapo kwenye kilo kumi utapata faida ya tsh 30,000 ukiuza kila siku kilo 3 tayari unapata pesa ya kujikimu ambapo unaweza kutumia 5000 ukaweka 2000 kwa ajili ya uendeshaji wa biashara na 2000 kwa ajili ya maendeleo yako binafsi ukiuza zaidi unapata kipato kikubwa zaidi na kutimiza malengo yako bila shaka .
Natamani maswali na maoni yote niyajibie humu humu ili hata ambao watakua sio wateja wapate kitu Cha kujifunza..

Tupo karibu na mahak**a kuu , Posta Dar es salaam.
Simu 0677-545992 WhatsApp na 0782-650455.

27/06/2020

RAYMA SUPPLIES

Tunauza dagaa kigoma, Nyasa, Zanzibar, Mwanza, Bukoba na dagaa waliokaangwa, Viungo vya chai, Mboga na pilau, Tangawizi na vitunguu swaumu.
_ Tunatuma mzigo popote ulipo kwa gharama za mteja.
_ posta, Kivukoni, Akiba, Stesheni, DIT, na Mnazi mmoja tutakuletea bure na kwa usalama zaidi bila kusahau mteja wangu lazima upate zawadi.
_ Tupo Karibu na mahak**a kuu

Simu: 0782-650455/ 0677-545992

14/01/2019

Rejareja tsh45000
Jumla tsh 40000
Nunua ukatumie, nunua kauze
Kwa maelezo zaidi 0677545992

19/03/2017
19/03/2017
05/03/2017
24/02/2017
unapenda kusuka/ kushonea mitindo mbalimbali ila bado hujajua?Mwalimu wako nipo njoo nitakufundusha mpaka utaelewa kila ...
30/01/2017

unapenda kusuka/ kushonea mitindo mbalimbali ila bado hujajua?
Mwalimu wako nipo njoo nitakufundusha mpaka utaelewa kila mtindo sh 10000 tu . Wasiliana nami kwa namba 0782024255 / 0712405465

hii ni crochet nzuri iko k**a wiving ikiwa kichwani .  ukiipenda hii style k**a mimi tuwasiliane 0712405465Tsh 15,000 tu...
26/01/2017

hii ni crochet nzuri iko k**a wiving ikiwa kichwani . ukiipenda hii style k**a mimi tuwasiliane 0712405465
Tsh 15,000 tu nakufata ulipo

26/01/2017
your welcome dear . Jumla tsh 20,000 kuanzia pc 3 rejareja tsh 23,000 tu
26/01/2017

your welcome dear . Jumla tsh 20,000 kuanzia pc 3 rejareja tsh 23,000 tu

Address

Kigogo, Kinondoni
Dar Es Salaam

Telephone

0712405465

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hair collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share