Nguo-Production

Nguo-Production Tunashona nguo za kiume na k**e za rika lite na kuuza kwa wateja wetu.

30/08/2026

Unataka kuvaa kwa kujiamini, basi angalia hii na hakika itakupendeza. Mshono safi na kitambaa bora. Weka oda yako ufanyiwe delivery popote ulipo.
Kwa mawasiliano piga simu 0620459158. K**a utanata mzigo mkubwa wa kuuza utapqta ofa zaidi na ushauri juu ya rangi zinazokimbiza sokoni.
Tupo Dar es Salaam.

😌❤️😍 **e

20/08/2026

UNASUBIRI NINI?
Usihangaike kuwaza nguo ipi itakufanya uwe huru zaidi wakati wa kazi na unapokuwa nyumbani. Kazi yote ni yetu, bonyeza link yetu au tuma ujumbe au piga simu kwa namba 0620459158 upate huduma nzuri kilasiku. Tunapatikaana Mbagala Dar es Salaam.

16/08/2026
12/08/2026

Suruali zako zote zinafafa, fanya ziwe na utofauti upate raha ya vazi lako. Piga simu 0620459158 kupata huduma ya mitindo tofautitofauti ya suruali.

07/08/2026

Unasubiri nini! Hakikisha una code k**a hii kwaajiri ya matukio maalumu na special kwako. Njoo kwetu ushonewe rangi mbalimbqli kulingana na hadhi yako. Mfanyabiqshara unarangi zako zinakusubiri.
Piga simu 0620459158
Tunapatikana Mbagara Dar es Salaam.

28/07/2026

😌❤️😍

27/07/2026

Processing...

Address

Kimbangulile Rangi3 Mbagala
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 12:00
15:00 - 20:00
Saturday 10:00 - 20:00
Sunday 10:00 - 18:00

Telephone

+255620459158

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nguo-Production posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nguo-Production:

Shortcuts

Share