Haule Online Services

Haule Online Services Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Haule Online Services, Accessories, Dar es salaam, Dar es Salaam.

🚨 SAJILI LIPA NAMBA ZA VODACOM SASA! 🚨Unataka kupokea malipo ya biashara yako kwa njia rahisi na ya kisasa?Chukua hatua ...
19/04/2026

🚨 SAJILI LIPA NAMBA ZA VODACOM SASA! 🚨
Unataka kupokea malipo ya biashara yako kwa njia rahisi na ya kisasa?

Chukua hatua leo kwa LIPA NAMBA ya Vodacom – haraka, salama, na inapatikana popote ulipo Tanzania!

βœ… MAHITAJI YA USAJILI
βœ”οΈ TIN Certificate
βœ”οΈ Kitambulisho cha NIDA
βœ”οΈ Namba mpya ya Vodacom (isiwe na huduma ya M-Pesa)

πŸ’° GHARAMA
πŸ”₯ Kutengeneza LIPA NAMBA ni TSh 5,000 tu!

πŸ’Ό FAIDA ZA LIPA NAMBA
✨ Kupokea malipo moja kwa moja kutoka kwa wateja
✨ Kuongeza uaminifu wa biashara yako
✨ Kutenganisha fedha binafsi na za biashara
✨ Rahisi kufuatilia miamala yako
✨ Inafaa kwa biashara ndogo hadi kubwa

⚑ HUDUMA NI RAHISI NA YA HARAKA!

Tunakuhudumia popote ulipo ndani ya Tanzania.

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0786 911 043

πŸ”₯ Anza kupokea malipo kitaalamu leo kwa LIPA NAMBA!

πŸ“’ HUDUMA BORA ZA ONLINE – POPOTE ULIPO! πŸŒπŸ’»Unahitaji huduma hizi kwa haraka na kwa uaminifu? Sasa zipo karibu yako:βœ… Maom...
27/01/2026

πŸ“’ HUDUMA BORA ZA ONLINE – POPOTE ULIPO! πŸŒπŸ’»

Unahitaji huduma hizi kwa haraka na kwa uaminifu? Sasa zipo karibu yako:

βœ… Maombi ya Cheti cha Kuzaliwa & Cheti cha Kifo – RITA
βœ… Maombi ya Mkopo wa Elimu ya Juu – HESLB
βœ… Kupata TIN Number – TRA
βœ… Kupata Leseni ya Biashara
βœ… Maombi ya Passport ya Kusafiria
βœ… Usajili wa Kampuni na Biashara – BRELA
βœ… Uombaji wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati
βœ… Maombi ya Ajira mbalimbali kupitia Ajira Portal..na huduma nyingine nyingi muhimu kwa maendeleo yako.
πŸ“² Jiunge na GROUP LETU LA WHATSAPP sasa upate msaada wa karibu, ushauri na huduma kwa wakati.

https://chat.whatsapp.com/ILkFBr2vsLc6y4CTrn1qxZ

πŸ“ž 0786 911 043
⏳ Huduma hizi zinapatikana popote ulipo – tunakuhudumia kwa haraka, uaminifu na gharama nafuu!

Tumia muda wako vizuri, acha sisi tukuhudumie kwa weledi! πŸ’ΌπŸ“‘πŸŒ

🧾 FAIDA ZA KUWA NA TIN NUMBER – USIKOSE!πŸ“ž Piga: 0786 911 043 kupata TIN yako LEO!Unajua kuwa TIN Number ni zaidi ya namb...
26/01/2026

🧾 FAIDA ZA KUWA NA TIN NUMBER – USIKOSE!
πŸ“ž Piga: 0786 911 043 kupata TIN yako LEO!

Unajua kuwa TIN Number ni zaidi ya namba tu? Angalia hizi FAIDA ZA MSINGI utakazopata ukishaipata:

βœ… Kufungua Akaunti ya Biashara kwa urahisi
βœ… Kupata Leseni ya Biashara halali
βœ… Kushiriki Tenda za Serikali & Mashirika
βœ… Kusajili Kampuni, NGO au Kikundi
βœ… Kuhakikiwa na TRA kwa uaminifu wa kikodi
βœ… Kujenga Historia ya Kikodi – ni muhimu kwa mikopo
βœ… Kuepuka adhabu na faini kutoka TRA
βœ… Kupata Mikataba Mikubwa ya Kibiashara

πŸ” HAKUNA USUMBUFU – Tunakusaidia kupata TIN yako kwa HARAKA na UHAKIKA!
πŸ“² Wasiliana nasi Whatsup sasa kupitia: https://wa.me/255786911043
πŸ’°Gharama ya kupata Tin number ni elfu tano tu

πŸš€ Usikubali fursa zipite kwa sababu huna TIN!
Anza safari yako ya kibiashara KISERIKALI na KISHERIA leo!

Unahitaji msaada na mambo mengine ya TRA? Tupo kwa ajili yako.
Huduma salama, haraka na nafuu.

Β© JEH Online Services
πŸ“ Tanzania

πŸ”” TANGAZO LA HUDUMA YA CHETI CHA KUZALIWA πŸ””πŸ“Œ Unahitaji Cheti cha Kuzaliwa?Tunatoa huduma kwa:βœ… Wale ambao hawajawahi kuw...
24/01/2026

πŸ”” TANGAZO LA HUDUMA YA CHETI CHA KUZALIWA πŸ””
πŸ“Œ Unahitaji Cheti cha Kuzaliwa?

Tunatoa huduma kwa:
βœ… Wale ambao hawajawahi kuwa na cheti kabisa
βœ… Wale waliopoteza cheti cha kuzaliwa
βœ… Wanaotaka kubadilisha cheti cha zamani na kupata cha kisasa (new format)
βœ… Wanaohitaji verification ya cheti cha kuzaliwa

πŸ•’ HUDUMA NI HARAKA, SALAMA NA YA KUAMINIKA
πŸ“ž Wasiliana Nasi Sasa: 0786911043

πŸ‘‰ Fanya mambo yako rasmi kwa urahisi na kwa gharama nafuu!

unahitaji Huduma gani hapo? karibu Nikuhudumie 0786 911 043
04/01/2026

unahitaji Huduma gani hapo?
karibu Nikuhudumie

0786 911 043

unahitaji Huduma gani hapo?karibu nikuhudumie 0786 911 043
03/01/2026

unahitaji Huduma gani hapo?
karibu nikuhudumie

0786 911 043

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Haule Online Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share