Wonder World Kids

Wonder World Kids From baby giggles to mama sparkles
Clothes | Toys | Bath | Feeding | Jewelry & more!

30/08/2026

Umebakiza hatua chache tu ushinde… halafu nyoka anakurudisha chini!
Snakes & Ladders + Ludo ni zile games zinazowakutanisha watoto, familia na marafiki mezani. Simu pembeni, kete mkononi… halafu tuone nani hapendi kushindwa!
WhatsApp 0758 465 997/0693 064 364



29/08/2026

Hii Fishing Game sio mchezo wa kuvua samaki tu
Mtoto analenga, anajaribu, anakosea, anarudia… mpaka ampate! Huku akifurahia, anafanya mazoezi ya umakini, uratibu wa macho na mikono pamoja na patience.
Na wakicheza wawili ndipo ushindani unaponoga
Kwenu nani angevua samaki wengi?
0693 064 364


28/08/2026

Family game night bila UNO kweli imekamilika?
UNO ni moja ya zile games zinazowakutanisha watoto, familia na marafiki mezani, halafu ushindani unaanza!
Nani kwenu akishindwa anaanza kusema “turudie tena!”?
UNO Cards available at Wonder World Kids, Dar es Salaam.
0758 465 997/ 0693 064 364



23/08/2026

Nani yuko tayari kwa challenge?

Chess & Draughts 2-in-1 ni game nzuri kwa watoto, familia na marafiki, mnaburudika pamoja huku mkichangamsha akili.

Halafu ndiyo tunataka kujua… kwenu nani huwa hapendi kushindwa? 😂
Bei: 40,000/-
Location: Sinza PR Complex, duka namba 83
Mawasiliano: 0758 465 997/ 0693 064 364

22/08/2026

Weka simu pembeni kidogo, leo tunacheza pamoja!

Snake & Ladder + Ludo 2-in-1 ni game nzuri ya kuleta watoto na familia pamoja, huku mtoto akijifunza kusubiri zamu, kufuata sheria na kufikiria hatua inayofuata.

Game moja, michezo miwili na muda mzuri wa familia kubond.

Location : Sinza PR Complex, duka namba 83

Mawasiliano : 0758 465 997/ 0693 064 364

22/08/2026

Super Mario Odyssey Set inakuja na guitar, piano, simu ya kuchezea na miwani, yaani full package ya kucheza, kuimba na kujifanya superstar.
Perfect kwa mtoto anayependa muziki na pretend play.
Tunapatikana Sinza PR Complex, duka namba 83
Wasiliana nasi: 0758 465 997/ 0693 064 364

21/08/2026

Electric Shock ni mchezo wa familia kuanzia miaka 3 mpaka miaka 99, unampa mtu challenge ya kupitisha waya kwenye njia bila kugusa chuma. Unasaidia kufanya mazoezi ya umakini, uratibu wa macho na mikono pamoja na uvumilivu huku ukiburudika.
Utamaliza bila kugusa?
Tunapatikana Sinza PR Complex, dukan amba 83
Wasiliana nasi 0658 465 997/0693 064 364

20/08/2026

Magnetic Alphabets zinampa mtoto nafasi ya kutambua herufi, kupanga maneno na kufanya mazoezi ya spelling huku akicheza.
Anaweza kuzipanga kwenye fridge, ubao mweupe au sehemu nyingine inayoshika sumaku, anacheza, anajaribu na anajifunza.
Location: Sinza PR Complex, duka namba 83
Wasiliana nasi: WhatsApp/Call: 0758 465 997/ 0693 064 364

19/08/2026

Kucheza huku anajifunza? Ndo wazazi tunapenda!

Multifunctional Board inamfanya mtoto awe busy huku akijifunza rangi, namba, kutumia mikono na kufikiria kwa ubunifu.

Wonder World Kids, Sinza PR Complex, duka namba 83
0693 064 364/0758 465 997

18/08/2026

Una mpenzi wa Spiderman nyumbani? Basi hii itamfurahisha!

Ni nzuri kwa kucheza au kumpa k**a zawadi.

Wonder World Kids, Sinza PR Complex, duka namba 83
0693 064 364/0758 465 997

Address

PR Complex, Sinza Kumekucha
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00
Saturday 10:00 - 19:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wonder World Kids posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share