20/10/2025
Tumerudi
Balo la kwanza litakatwa Jumanne tarehe 21.10.2025 sabis tano asubuhi
Mahali ni Segerea Mwisho
karibu unayeanza biashara ukutane na wazoefu ujifunze zaidi
usipiitwe, tarehe za mshahara hizi