29/07/2026
TUNAUZA MASHINE KUBWA YA KUKOBOA MPUNGA | MASHINE YA RICE MILL
π +255 658 375 861
π±
π Muda wetu wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
π Ofisi zetu zipo Tegeta - Dar es Salaam
β
MASHINE KUBWA YA KUKOBOA MPUNGA ni mashine maalumu yenye uwezo mkubwa wa kukoboa mpunga kwa haraka na kwa kiwango kikubwa kuanzia kilo 700 hadi 1000 kwa saa.
π§ Sifa za Mashine Hii:
Ina motor yenye nguvu kubwa
Inakoboa mpunga kwa haraka bila kupoteza nafaka
Inatoa mpunga safi na mweupe tayari kwa matumizi au biashara
Inafaa kwa wakulima wakubwa, vikundi vya kilimo, ushirika na wafanyabiashara wa mpunga
β
π‘ Faida za kutumia mashine hii:
Kuokoa muda na gharama ya kukoboa mpunga kwa mikono au kwa mashine duni
Kuongeza thamani ya mazao yako
Kurahisisha biashara na kuongeza kipato
β
MKULIMA SOLUTION tunauza mashine hizi kwa bei nafuu na tunatoa ushauri jinsi ya kuitumia na kuitunza.
β
π Fika ofisini kariakokoo au wasiliana nasi kwa:
π Call/WhatsApp: +255 658 375 861
β
kilimobiashara mashinezakilimo agriculturetools kilimotanzania tanzania mpunga bustani wakulima
MKULIMA SOLUTION | TEGETA - DAR ES SALAAM