Kiongozi Makini

Kiongozi Makini Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kiongozi Makini, Dar es Salaam.

03/05/2026

AZAKI NAO WAKAIJIBU RIPOTI HIVI.

"Azaki 14 za kiraia nchini Tanzania zimeikisoa ripoti ya matukio ya uchunguzi ya Oktoba 29 iliongozwa na Jaji Othman Chande kuhusu uchunguzi wa awali uliofanywa na tume hio iliyoundwa na Rais wa nchi hio Dkt. Samia Suluhu Hassan. Wakiwasilisha ripoti yao jijini Dar, wawakilishi wa azaki hizo wamesema hawakubaliani na ripoti ya uchunguzi wa tume hiyo na kutaka tume shirikishi badala ya tume hiyo iliyoundwa na Rais.

03/05/2026

EBU TUTAFAKARI TENA HAPA,

"Tume imepata ushahidi usio na shaka wa matukio ya ghasia ya Oktoba 29 yalipangwa, yaliratibiwa na yalifadhiliwa na kutekelezwa na watu waliopata mafunzo" -Mwenyekiti wa Tume Jaji Mohamed Chande amesema
-

  Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, ameiongoza nchi yake kufikia hatua muhimu ya kiuchumi baada ya kukamilisha ma...
03/05/2026

Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, ameiongoza nchi yake kufikia hatua muhimu ya kiuchumi baada ya kukamilisha malipo yote ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola milioni 23.9, hatua inayotajwa kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuongeza uthabiti wa uchumi wa taifa hilo. Mafanikio hayo yamepokelewa k**a ishara ya usimamizi mzuri wa fedha za umma chini ya uongozi wa sasa.

Kukamilika kwa deni hilo kunatajwa kuipa Namibia uhuru mkubwa zaidi wa kifedha, huku serikali ikitarajiwa kuwa na nafasi pana ya kuelekeza rasilimali katika miradi ya maendeleo ya ndani. Kwa mujibu wa takwimu hadi Machi mwaka huu, malipo hayo yalifikia dola milioni 23.8875. Namibia sasa imejiunga na baadhi ya mataifa ya Afrika yaliyofanikiwa kufuta madeni yao kwa IMF, ikiwemo Msumbiji.

Netumbo Nandi-Ndaitwah, mwenye umri wa miaka 72, ndiye rais wa kwanza mwanamke wa Namibia. Aliingia madarakani mwezi Disemba 2024 baada ya kushinda uchaguzi kwa asilimia 57 ya kura, huku mpinzani wake wa karibu Panduleni Itula akipata asilimia 26. Tangu akiwa na umri wa miaka 14, amekuwa mwanachama wa chama tawala cha SWAPO, hatua iliyomjengea historia ndefu ya kisiasa nchini humo.

CC: BBC News; DW Kiswahili

27/04/2026

“Walioumizwa na tukio lile ni sisi Watanzania, haiwezekani mtu mwingine ambaye si Mtanzania awe na uchungu kuliko sisi watanzania”

Asasi za kiraia na watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania zimepinga ripoti  ya uchunguzi wa matukio yaliyotokea wa...
27/04/2026

Asasi za kiraia na watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania zimepinga ripoti ya uchunguzi wa matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu April 23, 2026.

-
-

24/04/2026

Ado: Ripoti ya Jaji Chande haijajibu maswali muhimu, 'imekwepa ukweli, hatujaridhishwa'

24/04/2026

24/04/2026

“Serikali haihusiki na vifo vya waandamanaji wa Oktoba 29, wala Serikali haikutoa agizo la waandamanaji kuuwawa”Balozi Lazaro Nyalandu

 🐰
05/04/2026

🐰

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:30
Tuesday 08:30 - 17:30
Wednesday 08:30 - 17:30
Thursday 08:30 - 17:30
Friday 08:30 - 17:30
Saturday 10:00 - 17:00

Telephone

+255718343168

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kiongozi Makini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kiongozi Makini:

Share