Aggie african beauty

Aggie african beauty �We sell original cosmetics wholesale and retail.
�we value your loyalty �
� Beauty is our nature
�/what'sup 0689095663

Life is lyk are riding a bicycle 🚲to keep your balance you must keep moving 🥂🚲🚲b'coz hapnes is a journey not a destinati...
20/09/2025

Life is lyk are riding a bicycle 🚲to keep your balance you must keep moving 🥂🚲🚲b'coz hapnes is a journey not a destination 😉

Bello body butter na oil yake ni bidhaa nzuri itakayokupa health & glowing skin nzuri sana ....✨ unapata ung'aavu kakika...
03/09/2025

Bello body butter na oil yake ni bidhaa nzuri itakayokupa health & glowing skin nzuri sana ....✨ unapata ung'aavu kakika ngozi...✨Hazichubui anatumia mtu yeyote ...✨inaipa ngozi unyevunyevu
Zipo Kwa jumla na rejareja karibuni sana

☎️0689095663

Ferm Fresh ni nini?Ferm Fresh ni bidhaa ya usafi wa mwili, hasa inayotumika k**a:Wash ya sehemu za siri za wanawakeWakat...
05/08/2025

Ferm Fresh ni nini?

Ferm Fresh ni bidhaa ya usafi wa mwili, hasa inayotumika k**a:

Wash ya sehemu za siri za wanawake

Wakati mwingine pia hutumika k**a dawa ya asili (natural remedy) kwa ajili ya afya ya uke.

Hutengenezwa kwa mimea ya asili na probiotics (viumbe hai wazuri) ambavyo vina faida kwa usafi na usawa wa uke (vaginal flora).

✅ Umuhimu na faida za kutumia Ferm Fresh

1. 🧼 Kusafisha sehemu za siri kwa upole

Husaidia kuondoa uchafu, harufu mbaya, na jasho bila kuvuruga asidi ya uke (pH level).

2. 🌿 Ina viambato vya asili (natural ingredients)

Huondoa hatari ya kemikali kali zinazopatikana kwenye sabuni za kawaida.

Inafaa kwa ngozi nyeti ya sehemu za siri.

3. 🦠 Husaidia kudhibiti fangasi na bakteria wabaya

Probiotics ndani yake huimarisha bakteria wazuri, wakidhibiti maambukizi k**a yeast infection na BV (bacterial vaginosis).

4. 🌬️ Huondoa harufu mbaya

Huweka harufu ya uke ikiwa safi na ya asili (fresh), bila kutumia manukato makali.

5. ⚖️ Hurekebisha pH ya uke

PH ya uke ni ya asidi kidogo (kati ya 3.8 – 4.5), na Ferm Fresh huisaidia kubaki katika hali hiyo ili kuzuia maambukizi.

6. 🩸 Inafaa kutumika wakati wa hedhi

Husaidia usafi na harufu nzuri hata wakati wa kipindi cha hedhi.

🛑 Tahadhari:

Usitumie mara nyingi sana – mara moja kwa siku inatosha.

Usitumie ndani ya uke, tumia kwa nje tu.

Usitumie k**a una maambukizi makali bila ushauri wa daktari

Available in our store😚 What'sup/call forore details 0689095663We do delivery 🚚 🚚 🚚 too..
01/08/2025

Available in our store😚
What'sup/call forore details 0689095663
We do delivery 🚚 🚚 🚚 too..

Available in our store 0689095663Delivery 🚚🚚🚚 tunafanya popote pale Kwa uwaminifu mkubwa mno karibuni
15/04/2025

Available in our store 0689095663
Delivery 🚚🚚🚚 tunafanya popote pale Kwa uwaminifu mkubwa mno karibuni

-sugar & milk body scrub shower bath hii itakupa glowing skin nzuriii sana mwilini.🔸Inaondoa uchafu kwenye ngozi🔸Inang'a...
04/03/2025

-sugar & milk body scrub shower bath hii itakupa glowing skin nzuriii sana mwilini.
🔸Inaondoa uchafu kwenye ngozi
🔸Inang'arisha ngozi
🔸Inaondoa mikunjo na madoa mwilini
🔸Inaongeza unyevunyevu kwenye ngozi
🔸Inaondoa pia na stretch mark
Tunapatikana kariakoo mtaa wa jangwani na mafia na pia tunafanya delivery popote pale Kwa uwaminifu mkubwa karibuni sana..📞0689095663

Available in our store 🔥🔥🔥🔥  Tupigie au whatsup number 0689095663
04/03/2025

Available in our store 🔥🔥🔥🔥
Tupigie au whatsup number 0689095663

Shower scrub nzuri sana hii...Uzuri unaanzia bafuni sio kupaka mafuta pekee yake njoo ujipatie body shower nzuri zitakaz...
04/03/2025

Shower scrub nzuri sana hii...Uzuri unaanzia bafuni sio kupaka mafuta pekee yake njoo ujipatie body shower nzuri zitakazokupa ngozi nyororo na nzuri..zinapatikana Kwa jumla na rejareja karibuni..
Tupigie au whatsup no.0689095663

Naranja  body oil ni nzuri sana hii inaondoa weusi weusi mwilini..nakukupa ngozi nzuri nayakupendeza.   --inakupa glowin...
01/03/2025

Naranja body oil ni nzuri sana hii inaondoa weusi weusi mwilini..nakukupa ngozi nzuri nayakupendeza.
--inakupa glowing skin nzuriii sana
Kwa mahitaji ya original product utapata kwetu Kwa Bei pendwa karibuni..
Tupigie au whatsup no 0689095663

We deliver popote pale Kwa uwaminifu mkubwa karibuni Kwa jumla na rejareja... whatsup no.068909deliver
01/03/2025

We deliver popote pale Kwa uwaminifu mkubwa karibuni Kwa jumla na rejareja... whatsup no.068909deliver

Available in our store
01/03/2025

Available in our store

Address

Mafia & Jangwani
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aggie african beauty posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share