13/08/2025
Wakasaidiana, kila mtu na mwenzake,
kila mtu akamwambia ndugu yake; "Uwe na moyo mkuu"
Seremala akamtia moyo mfua dhahabu,
na yeye alainishaye kwa nyundo akamhimiza yule apigaye fuawe,
akiisifu kazi ya kuunga, akisema, "Ni kazi njema"
naye akaikaza kwa misumari isitikisike.
Isaiah 41:6