Mumylat beaut and fashion kids.

Mumylat beaut and fashion kids. Mumylat beauty and fashion kids. Tunauza nguo za watoto na urembo. Zenye ubora wa juu na kisasa. Tunapatikana kkoo mtaa wa aggrey (dare salaam).

0612140961

Wimbo gani?
22/06/2026

Wimbo gani?

28/05/2026
Thanks for being a top engager and making it onto my weekly engagement list! 🎉 Hisïå Lår Prīnçe Dêbåribøså, Clever Mross...
15/05/2026

Thanks for being a top engager and making it onto my weekly engagement list! 🎉 Hisïå Lår Prīnçe Dêbåribøså, Clever Mrosso, Bin Sumaye, Sunyamo Wankaba, Veronica Mtanga Abel, Salome Leonard

WADAU NiNA KISA CHANGU CHA LEO 😢Kuna siku nilipost nguo, mteja akani inbox. Tukaelewana vizuri sana kuhusu bei, size, na...
13/05/2026

WADAU NiNA KISA CHANGU CHA LEO 😢

Kuna siku nilipost nguo, mteja akani inbox.
Tukaelewana vizuri sana kuhusu bei, size, nauli. Kila kitu clear.

Aliniambia nimpelekee nguo huko Mtongani.
Mimi sijaona shida, nikapanda gari na nguo kuelekea kule aliposema.

Nilipofika kituo alichoniambia, nikashuka.
Akanipigia simu akanielekeza nitembee kuelekea kwenye saloon iliyopo karibu.

Niliposogea huko, nikampigia simu… HAPATIKANI
Nikajaribu tena, tena, tena… HAKUPATIKANI HATA kidogo.

Nikasubiri hapo k**a masaa 3 nikiwa na nguo zangu, nikitarajia atatokea.
Mwishowe akanitumia ujumbe mfupi tu:

“Samahani nimetoka, nimepata dharura. Nitakwambia uniletee lini.”

Sasa mimi nashangaa… dharura ya saa 3?
Nauli yangu, muda wangu, na bidii yangu vimepotea bure.

Niwaombe ndugu zangu, tuwe waaminifu kwa wengine.
Biashara ni uaminifu. K**a hupendi kitu au umebadilisha mawazo, sema mapema ili tusipotezeane muda na pesa.

Nimeumia, lakini najifunza. Siku nyingine naweka masharti kabla ya kupeleka.

Hizo ni baadhi ya changamoto za biashara .
Je ,wewe ulipata changamoto gani ya biashara uliyonayo?.
Au nani aliwahi kukutana na changamoto k**a hii

13/05/2026

I got over 150 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

Asanteni sana kwa sapoti yenu ya ajabu wiki iliyopita 🙏🏽🔥Nimefurahi kuona mapenzi, comments na shares zenu. Nyinyi ndio ...
13/05/2026

Asanteni sana kwa sapoti yenu ya ajabu wiki iliyopita 🙏🏽🔥

Nimefurahi kuona mapenzi, comments na shares zenu.
Nyinyi ndio nguvu yangu ya kuendelea kuleta content bora zaidi.

Mungu awabariki nyote. Endeleeni kushirikiana nami,
naahidi kuleta mambo mazuri zaidi!

Akija kukusimulia movie hapoUtasema alikua ndani ya banda Na cku ukipata kuona iyo movie utajiuliza mbona k**a nishagaio...
08/05/2026

Akija kukusimulia movie hapo
Utasema alikua ndani ya banda
Na cku ukipata kuona iyo movie utajiuliza mbona k**a nishagaiona kumbe ulisimuliwa
wahenga tujuane😅😅😅

habari ya jioni.marafiki zangu wa fb.mkituona kimya mtutafute jamani .ndugu yenu nilikua naumwa Jana lkn leo nashukuru M...
07/05/2026

habari ya jioni.marafiki zangu wa fb.mkituona kimya mtutafute jamani .
ndugu yenu nilikua naumwa Jana lkn leo nashukuru Mungu naendelea vizuri.

one

07/05/2026

Nilikubali beji 1 ya shabiki kutoka kwa Dotto Chibwana.

Bado kunawenzetu wakiachana wanalia machozi ya Damu??Au sahv mkiachana hakuna kulialia ovyo🤦??
05/05/2026

Bado kunawenzetu wakiachana wanalia machozi ya Damu??
Au sahv mkiachana hakuna kulialia ovyo🤦??


Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255612140961

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mumylat beaut and fashion kids. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share