01/12/2025
MZIGO MPYAA unafaa kwa ofisini au graduation
MAMBO HAYO MUHIMU NI:-👇
1. 👗 Suit ya kisasa inayokuweka smart
2. 🌸 Gauni rasmi (official) la heshima na mvuto
3. 💃 Gauni la usiku kwa ajili ya sherehe
4. 👠 Heels/viatu vya kuvutia kukamilisha muonekano
5. 💄 Lashes, nywele & makeup kutoka Braids TZ
6. 🎁 ZAWADI YA BURE kutoka kwetu accessories za kipekee kwa kila mrembo anayenunua!
7. 😊 Tabasamu lako accessory ya bure inayovutia zaidi
8. 🔋 Simu yako iwe imejaa chaji kwa picha nzuri 📸
Karibu Lukombe ladies Wear Tunakamilisha muonekano wako!
📞 0674 965 616
Follow us at lukombe ladies wear
Baada ya kunununa sasa
Unapita unasukwa kueka lashes na makeup kukamilisha urembo wako