KINTU outfit STORE

KINTU outfit STORE Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KINTU outfit STORE, Clothing (Brand), Kigoma.

pata mtoko wa kijanja na KINTU outfit STORE bei zetu ni nafuu sana.tunapatikana kigoma mjini, katubuka kwenye kona ya kw...
08/07/2023

pata mtoko wa kijanja na KINTU outfit STORE bei zetu ni nafuu sana.
tunapatikana kigoma mjini, katubuka kwenye kona ya kwenda mwasenga.

KUWA SMART KWA ẞEI POA

wale wapenzi wa pamba kali wazee wa kwenda na fashion muda ni huu sasa sogea KINTU outfit STORE upendeze kwa bei poa kab...
04/07/2023

wale wapenzi wa pamba kali wazee wa kwenda na fashion muda ni huu sasa sogea KINTU outfit STORE upendeze kwa bei poa kabisaa.

KUWA SMART KWA ẞEI POA.

KINTU outfit STORE inapenda kutoa pole kwa timu ya Mashujaa FC kwa kumpoteza mmoja wa kiongozi wa timu yao ndugu ẞRIGHT ...
01/07/2023

KINTU outfit STORE inapenda kutoa pole kwa timu ya Mashujaa FC kwa kumpoteza mmoja wa kiongozi wa timu yao ndugu ẞRIGHT CHUMA aliekuwa katibu msaidizi, MUNGU aipumzishe roho yake mahali pema peponi ameni 🤲🏼🙏🏼

KUWA SMART KWA ẞEI POA.

HELLO GUYSsi wengine ni KINTU outfit STORE kwa wale wapenzi wa pamba kali wazee wa kwenda na fashion tunapenda kuwakumbu...
01/07/2023

HELLO GUYS
si wengine ni KINTU outfit STORE kwa wale wapenzi wa pamba kali wazee wa kwenda na fashion tunapenda kuwakumbusha wateja wetu kwamba weekend hii usipange kukosa katika duka letu kuna bonge la promotion.

KUWA SMART KWA ẞEI POA.

uku KINTU outfit STORE mambo yako poa saana, karibu ujipatie T-shirt kali NewBrand kwa 16000/= tu wewe chelewa chelewa m...
30/06/2023

uku KINTU outfit STORE mambo yako poa saana, karibu ujipatie T-shirt kali NewBrand kwa 16000/= tu wewe chelewa chelewa mwishoe utakuta mzigo umekwisha.

KUWA SMART KWA ẞEI POA.

 KINTU outfit STORE kigoma ni wauzaji wa nguo za wakubwa tu kwa jinsia zote, tunapatikana kigoma mjini, katubuka kwenye ...
29/06/2023



KINTU outfit STORE kigoma ni wauzaji wa nguo za wakubwa tu kwa jinsia zote, tunapatikana kigoma mjini, katubuka kwenye kona ya kwenda mwasenga.

KUWA SMART KWA ẞEI POA.

Ruksa kupendeza na KINTU outfit STORE kigoma karibu ujipatie T-shirt kali za kijanjå kwa 13,000/= bei sawa na bure kabis...
27/06/2023

Ruksa kupendeza na KINTU outfit STORE kigoma karibu ujipatie T-shirt kali za kijanjå kwa 13,000/= bei sawa na bure kabisaa, Tunahakikishå unakuwa smart kwa bei poa.

karibuni KINTU outfit STORE kigoma wauzaji wa nguo za wakubwa tu kwa jinsia zote, bei zetu zinatibu presha yaani ni sala...
27/06/2023

karibuni KINTU outfit STORE kigoma wauzaji wa nguo za wakubwa tu kwa jinsia zote, bei zetu zinatibu presha yaani ni salama kwa afya ya mteja wetu, tunapatikana kigoma mjini katubuka kwenye kona ya kwenda mwasenga.

Address

Kigoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KINTU outfit STORE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share