19/05/2026
✨ Karibu MILYSA COUTURE ✨
Tunakushonea kwa ubora wa hali ya juu—kuanzia mavazi ya kila siku hadi special occasions. Kila design ni mchanganyiko wa ubunifu, umaridadi na mguso wa kipekee wa African beauty
Unahitaji kushona vazi lako la ndoto? Sisi tupo tayari kulifanya liwe halisi!
📍 Tunapatikana: Makumbusho, DSM
📞 0763 038583 (Call/SMS/WhatsApp)
Karibu ushuhudie African Beauty Experience na Milysa Couture 🤍