05/12/2025
Mchezo wa jana unaweza kuwa mchezo uliotufanya mashabiki wa simba tusahau kilichopita, kwenye mechi za kimataifa, lakini siyo kweli kwamba tumesahau, simba inaitaji sana mabolesho, kuelekea kwenye mechi zijazo za kimataifa hili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kwenda robo fainal ya champions league sijaikatia tamaa simba kwa sababu, simba hata wao wanajua wanacho kifanya na wanatakiwa kufanya Nini kwenye mechi zijazo,NB KOCHA ANAYEKUJA SIMBA AWE MWENYE VIWANGO VYA SIMBA,SIYO BORA KOCHA