Ommy Open shoe's

Ommy Open shoe's Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ommy Open shoe's, Clothing (Brand), Mbeya.

16/10/2025

Hot

"Albamu yangu ya NJE YA BONGO nilifanyia Nje ya nchi mwaka 1999, na ndio albamu yangu ya kwanza kuisambaza mwenyewe.Big ...
25/07/2025

"Albamu yangu ya NJE YA BONGO nilifanyia Nje ya nchi mwaka 1999, na ndio albamu yangu ya kwanza kuisambaza mwenyewe.

Big up kwa Mzee Kitime maana ndiye alinisaidia kusambaza albam yangu ya kwanza kabla ya albamu ya pili na ya tatu hazijachukuliwa na promota M***a.

Baada ya kutoridhika na mwenendo mzima wa biashara niliamua kuisambaza mwenyewe.

Sasa, nikiangalia kila wanao-duplicate (durufu) ni wadosi, mahali pekee ambapo ningeweza ku-duplicate ni CHAMUDATA (Chama cha Muziki wa Dansi Tanzania)

Wao walikuwa na sponsorship kutoka Norway chini ya Mzee John Kitime akiwa k**a Katibu, pale walikuwa na studio na chumba kwa ajili ya ku-duplicate tapes.

Nilimfuata Mzee Kitime nikamwomba ni-duplicate albamu yangu, akasema b'ana ili uwe mnufaika lazima uwe member.

Wakati huo hatukuwa na Chama cha Rap ilibidi mimi niwe Mwanachama wa CHAMUDATA!

Kwa hiyo, mimi nimewahi kuwa member wa CHAMUDATA, big up kwa brother Kitime kwa sababu yote hii alikuwa anatafuta namna ya kunisaidia." Joseph Mbilinyi, Sugu.



__________

17/07/2025
17/07/2025
Mali sana hii
17/07/2025

Mali sana hii

Mali mpya
08/07/2025

Mali mpya

Location mbeya Jiji wilayani tunatuma
04/07/2025

Location mbeya Jiji wilayani tunatuma

Mkataba
19/05/2025

Mkataba

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ommy Open shoe's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share