Dinah crls, business

Dinah crls, business Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dinah crls, business, Baby & children's clothing store, Misungwi, Misasi.

Jamani mzigo mpya umeingi bado wa Moto motoo tuwahi jamani weka odaa yako uhudumiwe, popote nakufikia,, pia nasuka nywel...
17/08/2021

Jamani mzigo mpya umeingi bado wa Moto motoo tuwahi jamani weka odaa yako uhudumiwe, popote nakufikia,, pia nasuka nywele mitindo yote kwa Bei nafuu u.

Helooo wapendwa karibuni mjipatie keki nzuurii zenye radha, tamu kwa Bei nafuu,     Birthday, harusi au sherehe yeyote k...
23/06/2021

Helooo wapendwa karibuni mjipatie keki nzuurii zenye radha, tamu kwa Bei nafuu,
Birthday, harusi au sherehe yeyote karibuni niwahudumie watsup no. 0764303252 keki keki na bidhaa nzuurii nzuuyyenye ubora

Helooo, wapendwa karibuni sana, jaman muendelee kujipatia huduma na bidhaa zilizo na ubora kwa mahitaji ya keki Aina zot...
23/06/2021

Helooo, wapendwa karibuni sana, jaman muendelee kujipatia huduma na bidhaa zilizo na ubora kwa mahitaji ya keki Aina zote kwa Bei nafuu, kuanzia 200 tsh. Na kuendelea pia napatikana . Birthday, harusi sherehe yeyote karibuni. Niwahudumie watsup text no 0764303252.

Mzigo mpya umeingia mpaka na mashuka ,pure cotton,     Karibuni niwahudumie
19/11/2020

Mzigo mpya umeingia mpaka na mashuka ,pure cotton,
Karibuni niwahudumie

Mzigo mpya wa vitenge kutoka Burundi,             Karibuni
15/11/2020

Mzigo mpya wa vitenge kutoka Burundi,
Karibuni

Kwa mahitaji ya nguo za watu wazima jinsia zote,,pia za watoto k**e na kiume nicheki kupitia page yangu,,     Karibuni s...
15/11/2020

Kwa mahitaji ya nguo za watu wazima jinsia zote,,pia za watoto k**e na kiume nicheki kupitia page yangu,,
Karibuni saana wapendwa tupendeze pamoja.

Address

Misungwi
Misasi

Telephone

+255764303252

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dinah crls, business posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share