06/09/2023
Sifa na Faida za JBL Air F9 pro+
➡️Bei yake ni 25000/= Tu
▶️Charging case yake unaweza kuitumia k**a power bank Yani unaweza hata kuchajia simu yako
▶️Earbud Zinakaa na chaji masaa 5 mpka 6
▶️Earbud zina mic Ambazo Unaweza Kuitumia kuongelea Hata k**a simu ipo mfukoni Hii inafaa sana kwa madereva wa pikipiki na Gari
▶️Earbud zina button maalum Kwa ajili ya kupokea na kukata simu
▶️Hazipitishi maji wala jasho Hivyo Huna haja ya kuhofia kuharibika
▶️Zinakaa vizuri masikioni bila kuanguka Unaweza ukawa unafanya mambo yako bila wasiwasi k**a kukimbia, kufua na kupika etc
▶️Sauti yake au mziki wake ni base iliyochunjwa Haina makelele
✅KAMA UNAHITAJI WASILIANA NASI KWA 0679712538
Mwanza-Malimbe