Aggie

Call Directions Website

Aggie Mtumba grade 01

ROYAL BOOSTER  BODY  OIL GEL with  vitamin C & E INGRIDIENTS  NOW AVAILABLE 🔥🔥🔥🔥🔥🔥➡️➡️PAMBE KWENYE KUNG’arisha ngozi na ...
12/11/2026

ROYAL BOOSTER BODY OIL GEL with vitamin C & E INGRIDIENTS NOW AVAILABLE 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

➡️➡️PAMBE KWENYE KUNG’arisha ngozi na kurepair ngozi

AVAILABLE FLAVOUR
➡️vitamin C (chungwa ili apa🥰inanukia vizuri sana)
➡️strawberry (p**i hii apa utatamani ujile❤️🥰 yananukia)😊😊😊😊😊
➡️VANILLA (Yani biscuit hii apa utatamani ujile oga vizuri paka usiku 😍😊🥰)

Hii kwanza ni gel ya kishua sio ile ya kuganda ganda inayonasa vumbi ni gel form tamu kidogo tu ukipaka yanakolea ❤️🥰na ni long lasting kwenye ngozi 12 hours

Royal booster body oil gel inafanya kazi izi hapa
✅inaweka unyevu wa kutosha kwneye ngozi wale wa maeneo ya baridi ,wale mnaoshinda kwenye Ac yani unang’aa vizuri unapendeza mnanijua kwenye kuchagua vitu vizuri sibabaishagi
✅zinarepair NGOZI iliyoharibika na cream kali,Michirizi,sugu weusi katikati ya mapaja,vidoti vyeupe,vidoti vyeusi yani any form of dots vile vya kutumia cream kali na vya uzee
✅Inang’arisha Ngozi vizuri sanaaa
✅zinamaliza mikunjo kwenye Ngozi

Team mikunjo hakikisha hukosi hii oil wale wa kila nikipaka oil napauka hakikisha hii apa hauikosi

55000

Glutathione Vitamin C Face Cream ✨Mchanganyiko wa antioxidants unaolenga kusaidia ngozi ionekane yenye mwangaza na rangi...
06/11/2026

Glutathione Vitamin C Face Cream ✨

Mchanganyiko wa antioxidants unaolenga kusaidia ngozi ionekane yenye mwangaza na rangi inayofanana. 💛

🤩Yani hii face cream hata sisemi sana waliotumia wanajua balaa lake ni nzuri san kwa kung’arisha unapata ule weuupe wa unjano haswa🔥🔥
🤩 Husaidia kupunguza mwonekano wa dark spots
🤩 Huchangia kwenye kuifanya ngozi ionekane brighter
🤩Husaidia kuipa ngozi mwonekano wenye afya na glow

Bei 55000

🛍️Zinapatikana Vipodozi/Cosmetics
📩 Dm kwa Order
📞/ WhatsApp 0743808371
Tunapatikana Mwanza
🚚Delivery ipo Tanzania kote kwa gharama za mteja

06/11/2026
27/10/2026

DOUBLE DOSE ULTRA WHITENING MOLATO SOAP made from GHANA inamchanhanyiko wa Niacinamide, alpha arbutin na glutathione

✨Molato soap ni sabuni za kung’arisha ambazo zimechanganywa na serum,unga wa kung’arisha na vi2 vingine kibao kwaajili ya kutibu ngozi

✨Sabani za molato zina uwezo wa kukung’arisha vizur tu...bila serum bila lotion...bila kitu kingine chochote pia huwa zinatibu ngozi vizuri sana kwahiyo wavivu wa kupaka lotion hii inawafaa sana

✨Inatumika kuanzia usoni mpaka kwenye unyayo

✨Haipaushi wala kukak**aza ngozi na pia haiwashi k**a baadhi ya sabuni

✨Kwa wale wenye michirizi ya aina yote hii inawafaa sana kwani inaondoa kwa haraka mno

✨Hii sabuni dears ni nzuri mno na ni kubwa inadumu mda mrefu

✨Inaondoa sugu aina zote na weusi kwenye mapaja wale wagumu kung’aa miguu hii inawafaa sana na unang’aa kistar bila hata kutumia lotion wala serum yoyote

✨Hii sabuni dears ni nzuri sana sana

✨Walioungua na jua sehemu za usoni tumia hii utanishukuru

Bei Tsh 35000 tu

📞call/wasap 0743808371

15/10/2026

Unasumbuliwa na wekundu usoni, alama za chunusi au rangi ya ngozi kutokuwa sawa? 🥹🫶🏽

Tunakuletea Anua Azelaic Acid 10% + Hyaluron Redness Soothing Serum 💚💧

✨ Faida zake kwenye ngozi:
💚 Husaidia kupunguza mwonekano wa alama zinazobaki baada ya chunusi.
💚 Husaidia kutuliza mwonekano wa wekundu wa ngozi.
💚 Husaidia kuboresha mwonekano wa ngozi yenye rangi isiyosawazika.
💚 Ina Hyaluronic Acid inayosaidia kuipa ngozi unyevunyevu.

Inafaa kwa watu wengi wenye ngozi inayopata chunusi au alama za chunusi😍

Bei 65000

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aggie posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share