Dida Vitenge Wear

Dida Vitenge Wear Kwa Vitenge Original na Huduma za Ushonaji. Karibu Wasiliana na Dida: Watsapp/sms/call 0713093801
Follow Dida kwenye Instagram:

29/05/2026

Kila nguo nzuri unayoona ina story nyuma yake
Nitasimulia stiry ya nguo hii wakati ukifika

Dress
Picha

0713093801

29/05/2026

Kila nguo nzuri kna story ndani yake ,hata hii ina hadithi,iko siku nitasimulia

28/05/2026

Mama wa Bi Harusi akasema sio kinyonge kuoendeza Jadi yake fundi wake
Picha
0713093801

Mama wa Bi Harusi  aliona isiwe tabu kupendeza lazima  Video  na picha  0713093801
28/05/2026

Mama wa Bi Harusi aliona isiwe tabu kupendeza lazima


Video na picha

0713093801

28/05/2026

Ile Final Product sasa ndo hii,shanga zimesukwa zikasukika watoto wa mjini wanasema kazi safi
Mimi nasema Mikono salama ya Dida vitengewear

Picha

0713093801

28/05/2026

Kila Shanga,Kila U*i ni Tafsiri sahihi ya historia ya Binti Mrembo Happiness

0713093801

Address

Nyegezi Near By Nganza High School
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dida Vitenge Wear posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dida Vitenge Wear:

Share