Salama Saidi2020

Salama Saidi2020 Officially Page ya mtoto wa Baba Dailysuperstar89

Happy birthday to me
03/01/2026

Happy birthday to me

Nakupenda sana baba yangu Baba Dailysuperstar
13/07/2025

Nakupenda sana baba yangu Baba Dailysuperstar

Mimi chamama
22/02/2025

Mimi chamama

Happy birthday 🎊🎂 to me
03/01/2023

Happy birthday 🎊🎂 to me

Mimi mpangani mmoja❤️
17/09/2022

Mimi mpangani mmoja❤️

Aya twende nao sawa sasa
01/07/2022

Aya twende nao sawa sasa

SIMULIZI YA MNYAMA SIMBA ANAEISHI NA WANYAMA WENGINE MAISHA YAKE NA CHAKULA ANACHOKULA KWA SIKU TATUComment Like Share S...
01/06/2022

SIMULIZI YA MNYAMA SIMBA ANAEISHI NA WANYAMA WENGINE MAISHA YAKE NA CHAKULA ANACHOKULA KWA SIKU TATU

Comment
Like
Share
Subscribe



SIMULIZI YA MNYAMA SIMBA ANAEISHI NA WANYAMA WENGINE MAISHA YAKE NA CHAKULA ANACHOKULA KWA SIKU TATUComment Like Share Subscribe ...

It's me
21/05/2022

It's me

Happy Birthady Baba Baba dailysuperstar89 c.e.o
11/05/2022

Happy Birthady Baba Baba dailysuperstar89 c.e.o

MBUNGE WA JIMBO LA ULANGA ATOA MABATI NA CHAKULA CHENYE THAMANI YA ZAIDI YA MIL 41 KWAAJILI YA WAHANGA WALIOEZULIWA NYUM...
27/03/2022

MBUNGE WA JIMBO LA ULANGA ATOA MABATI NA CHAKULA CHENYE THAMANI YA ZAIDI YA MIL 41 KWAAJILI YA WAHANGA WALIOEZULIWA NYUMBA ZAO NA UPEPO.

Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro Mhe SALIM ALAUDIN HASHAM ametoa bati 1190 mifuko ya Sembe 321 na Mbao za kuezekea nyumba kwaajili ya Kaya zilizoezuliwa nyumba zao na upepo mkali kuanzia mwezi wa kwanza 1 mpaka mwezi wa tatu.

Akizungumza katika mkutano na wananchi wa Tarafa ya mwaya Mbunge SALIM ALAUDIN HASHAM amesema amefanya hivyo kwa lengo la kuhakikisha kila familia inarejea kwenye mazingira ya awali waliyokuwa wanaishi ili waendeleze maisha k**a zamani na waendelee kujitafutia kipato.

Hali hiyo inakuja baada ya ziara yake aliyoifanya wiki mbili zilizopita ya kukagua nyumba zilizoezuliwa na upepo na kujionea namna wananchi walivyopoteza makazi yao na vyakula kwa kipindi cha miezi mitatu.

Jumla ya Kaya 321 zilipata maafa hayo ya kuezuliwa paa za nyumba zao lakini mpaka sasa jumla ya Kaya 119 bado hazijarejea kwenye makazi yao kutokana na kushindwa kumudu gharama za kurekebisha makazi hayo.

Mbunge SALIM ametoa bati 10 kwa kila Kaya na mbao kwa Kaya 119 ambazo hazina makazi mpaka sasa na pia ametoa mfuko mmoja wa sembe kwa kila Kaya kwa jumla ya Kaya 321 ili kujikimu kwa chakula.

Aidha Mbunge SALIM ALAUDIN HASHAM amesema pia fedha hizo alizotumia ni kutoka mfukoni mwake na amefanya hivyo kwa lengo la kuona kila Mwananchi wa jimbo lake anapata ahueni ya Machungu hayo.

Jumla ya vijiji 15 vya wilaya ya Ulanga vilikumbwa na maafa ya kuezuliwa mapaa ya nyumba za wananchi kuanzia mwezi wa kwanza mpaka tatu.



MBUNGE WA JIMBO LA ULANGA ATOA MABATI NA CHAKULA CHENYE THAMANI YA ZAIDI YA MIL 41 KWAAJILI YA WAHANGA WALIOEZULIWA NYUMBA ZAO NA UPEPO.Comment Like Share Su...

🔴 : UCHAMBUZI WA MECHI YA SIMBA NA ASEC MIMOSAS/MAKOSA YALIOSABABISHA MAGOLIComment Like Share Subscribe
21/03/2022

🔴 : UCHAMBUZI WA MECHI YA SIMBA NA ASEC MIMOSAS/MAKOSA YALIOSABABISHA MAGOLI

Comment
Like
Share
Subscribe



🔴 : ASEC MIMOSAS (3) VS (0) SIMBA SC -TAZAMA: WACHAMBUZI WANACHOSEMA/MAKOSA YALIOSABABISHA MAGOLIComment Like Share Subscribe #...

Address

1771
Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salama Saidi2020 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Salama Saidi2020:

Share