09/05/2022
Ndoto ya kila mwanamke hapa dunian nikuitwa mama !! Lakini imekuwa changamoto kubwa sana kwasababu wengi huishi na changamoto ambazo hupelekea kukosa mtoto moja kwa moja ,kubeba mimba zinaharibika na kupelekeaa mahusianoo mengi kuvunjika ➡️